Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Blogu ya Idara ya Habari - MAELEZO

Matukio Katika Picha Bungeni Aprili 25, 2019
Apr 25, 2019
Na Msemaji Mkuu

[caption id="attachment_42451" align="aligncenter" width="900"] Sehemu ya wageni waliofika Bungeni kwa ziara ya mafunzo wakifuatilia kipindi cha maswali na majibu Bungeni Jijini Dodoma.[/caption] [caption id="attachment_42452" align="aligncenter" width="900"] Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Kassim Majaliwa akisisitiza kuhusu umuhimu wa Viongozi katika Mamlaka za Serikali za Mitaa wakiwemo wakuu wa Mikoa na Wilaya kuendelea kusimamia kikamilifu utoaji wa vitambulisho kwa wajasiriamali wadogo ikiwemo kuwapa elimu kuhusu umuhimu wa vitambulisho hivyo.[/caption] [caption id="attachment_42453" align="aligncenter" width="900"] Sehemu ya Manaibu Waziri na Wabunge wakifuatilia kipindi cha msawali ya papo kwa papo kwa Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Kassim Majaliwa leo Bungeni Jijini Dodoma.[/caption] [caption id="attachment_42454" align="aligncenter" width="900"] Wanafunzi wa shule ya msingi Ngorika kutoka mkoani Arusha wakiwa Bungeni Jijini Dodoma leo kwa ziara ya mafunzo.[/caption] [caption id="attachment_42455" align="aligncenter" width="900"] Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Kazi Vijana Ajira na Wenye Ulemavu mhe. Jenista Mhagama akitoa taarifa ya Serikali Bungeni kuhusu hatua wanazopaswa kuchukua wananchi kuepuka madhara yanayotokana na taarifa za utabiri wa hali ya hewa zinazoonesha kuwa kutakuwa na mvuna kubwa inayoambatana na kimbunga katika mikoa ya Lindi na Mtwara leo Bungeni Jijini Dodoma.[/caption] [caption id="attachment_42456" align="alignnone" width="900"] Mbunge wa viti maalum kutoka mkoa wa Arusha Mhe. Amina Mollel akisisitiza kuhusu umuhimu wa Jeshi la Polisi kuendelea kupatiwa vitendea kazi vya kisasa ili liweze kutekeleza majukumu yake kwa ufanisi zaidi.[/caption] [caption id="attachment_42457" align="aligncenter" width="900"] Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora Kapteni (Mstaafu) George Mkuchika akitoa taarifa rasmi ya Serikali kuhusu kupandishwa vyeo kwa watumishi wa umma katika mwaka huu wa fedha leo Bungeni Jijini Dodoma.(Picha zote na MAELEZO)[/caption]  

Mipangilio
Marekebisho ya Mandhari
Marekebisho ya Maandishi