Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Blogu ya Idara ya Habari - MAELEZO

Matukio Bungeni katika Picha
May 03, 2019
Na Msemaji Mkuu

[caption id="attachment_42728" align="aligncenter" width="750"] Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akizungumza na Waziri wa Maji na Umwagiliaji, Prof. Makame Mbarawa, Bungeni jijini Dodoma leo Mei 3.2019[/caption] [caption id="attachment_42730" align="aligncenter" width="698"] Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akisalimiana na Mbunge wa Nachingwea, Hassan Masala katika viwanja vya Bunge jijini Dodoma Mei 3.2019.[/caption] [caption id="attachment_42729" align="aligncenter" width="750"] Waziri wa Sera, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Walemavu, Jenista Mhagama, akifurahia jambo na Naibu Waziri ,Ofisi ya Waziri Mkuu Sera, Bunge, kazi, Vijana, Ajira na wenye ulemavu, Stella Ikupa, Bungeni jijini Dodoma Mei 3.2019[/caption]

Mipangilio
Marekebisho ya Mandhari
Marekebisho ya Maandishi