[caption id="attachment_46095" align="aligncenter" width="750"]
 Mke wa Rais Mama Janeth Magufuli akiwa katika mazungumzo na mke wa Rais wa Afrika Kusini Dkt. Tshepo Motsepe-Ramaphosa mara baada ya kuwasili Ikulu jijini Dar es Salaam.[/caption]
[caption id="attachment_46094" align="aligncenter" width="750"]
 Mke wa Rais Mama Janeth Magufuli akimkabidhi zawadi ya Picha mke wa Rais wa Afrika Kusini Dkt. Tshepo Motsepe-Ramaphosa mara baada ya kuwasili Ikulu jijini Dar es Salaam.[/caption]