Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Blogu ya Idara ya Habari - MAELEZO

Makamu wa Rais Mhe. Samia Asaini Kitabu cha Maombolezo Ubalozi wa Zimbabwe Leo
Sep 12, 2019
Na Msemaji Mkuu

[caption id="attachment_46719" align="aligncenter" width="750"] Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akitia saini kitabu cha kumbukumbu ya Maombolezo kufuatia kifo cha aliyekuwa Rais wa Zimbabwe Mzee Robert Mugabe alipofika katika Ubalozi wa Zimbabwe Oysterbay Jijini Dar es Salaam leo Sept 12, 2019.[/caption] [caption id="attachment_46720" align="aligncenter" width="750"] Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Naibu Balozi wa Zimbabwe Nchini Mhe. Martin Tavenyika alipofika katika Ofisi ya Ubalozi wa Zimbabwe Nchini Tanzanai kwa ajili ya kutia saini kitabu cha kumbukumbu ya Maombolezo kufuatia kifo cha aliyekuwa Rais wa Zimbabwe Mzee Robert Mugabe alipofika katika Ubalozi wa Zimbabwe Oysterbay Jijini Dar Es Salaam leo Sept 12, 2019.(Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais)[/caption]

Mipangilio
Marekebisho ya Mandhari
Marekebisho ya Maandishi