Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Blogu ya Idara ya Habari - MAELEZO

Makamu wa Rais Mhe. Samia Akutana na Kufanya Mazungumzo na Balozi wa Denmark, Ufaranza na Qatar Hapa Nchini
Sep 30, 2019
Na Msemaji Mkuu

[caption id="attachment_47387" align="aligncenter" width="750"] Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akisalimiana na Balozi wa Denmark hapa Nchini Bibi. Mette Norgaard Dissing Spandet wakati Balozi Spandet alipofika Ofisini kwa Makamu wa Rais Ikuklu Jijini Dar Es salaam leo Sept 30,2019 kwa ajili ya kujitambulisha.[/caption] [caption id="attachment_47388" align="aligncenter" width="750"] Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Balozi wa Denmark hapa Nchini Bibi. Mette Norgaard Dissing Spandet wakati Balozi Spandet alipofika Ofisini kwa Makamu wa Rais Ikuklu Jijini Dar Es salaam leo Sept 30,2019. kwa ajili ya kujitambulisha.[/caption] [caption id="attachment_47389" align="aligncenter" width="750"] Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Balozi wa Ufaransa hapa Nchini Bw. Frederic Clavier wakati Balozi Clavier alipofika Ofisini kwa Makamu wa Rais Ikuklu Jijini Dar Es salaam leo Sept 30,2019 kwa ajili ya kuelezea Mipango na Mlengo ya maendeleo ya Nchi yake kwa Tanzania.[/caption] [caption id="attachment_47390" align="aligncenter" width="750"] Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akisalimiana na Balozi wa Ufaransa hapa Nchini Bw. Frederic Clavier wakati Balozi Clavier alipofika Ofisini kwa Makamu wa Rais Ikuklu Jijini Dar Es salaam leo Sept 30,2019 kwa ajili ya kuelezea Mipango na Mlengo ya maendeleo ya Nchi yake kwa Tanzania.[/caption] [caption id="attachment_47391" align="aligncenter" width="750"] Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Balozi wa Qatar hapa Nchini Bw. Abdulla Jassim Al-Maadadi wakati Balozi Al-Maadadi alipofika Ofisini kwa Makamu wa Rais Ikuklu Jijini Dar Es salaam leo Sept 30,2019 kwa ajili kuaga baada ya kumaliza kipindi chake cha kazi hapa Nchini..(Picha na Ofisi ya Makamu ya Rais)[/caption] [caption id="attachment_47392" align="aligncenter" width="750"] Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akisalimiana na Balozi wa Qatar hapa Nchini Bw. Abdulla Jassim Al-Maadadi wakati Balozi Al-Maadadi alipofika Ofisini kwa Makamu wa Rais Ikulu Jijini Dar Es salaam leo Sept 30,2019 kwa ajili kuaga baada ya kumaliza kipindi chake cha kazi hapa Nchini.[/caption]

Mipangilio
Marekebisho ya Mandhari
Marekebisho ya Maandishi