Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Blogu ya Idara ya Habari - MAELEZO

Majaliwa Azindua Kituo cha Kuchotea Maji Lugagala Songea, Aweka Jiwe la Msingi Mradi wa Maji Luyehela
Jan 04, 2019
Na Msemaji Mkuu

[caption id="attachment_39426" align="aligncenter" width="1000"] Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akikagua tangi la maji wakati alipoweka jiwe la msingi la Mradi wa Maji wa Luyehe katika kijiji cha Muungano Zomba kwenye jimbo la Peramiho wilayani Songea, Januari 3, 2019. Kulia ni Naibu Waziri wa Maji, Juma Aweso.[/caption]

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akipanda juu tangi la Maji ili kujiridhisha kuhusu ubora wake wakati alipoweka jiwe la msingi la Mradi wa Maji wa Luyehela katika kijiji cha Muungano Zomba kwenye jimbo la Peramiho wilayani Songea, Januari 3, 2019.

[caption id="attachment_39429" align="aligncenter" width="1000"] Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akifurahia baada ya kumsaidia kubeba ndoo ya maji, Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Bunge, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu, Jenista Mhagama ambaye pia ni Mbunge wa Peramiho, ikiwa ni ishara ya kuzindua kituo cha kuchotea maji katika kijiji cha Lugagala wilayani Songea, Januari 3, 2019. Wapili kushoto ni Waziri wa Maji, Juma Aweso na kulia ni Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma, Christina Mndeme.[/caption] [caption id="attachment_39430" align="aligncenter" width="1000"] Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akifurahia baada ya kumsaidia kubeba ndoo ya maji, Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Bunge, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu, Jenista Mhagama ambaye pia ni Mbunge wa Peramiho, ikiwa ni ishara ya kuzindua kituo cha kuchotea maji katika kijiji cha Lugagala wilayani Songea, Januari 3, 2019. Wapili kushoto ni Waziri wa Maji, Juma Aweso na kulia ni Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma, Christina Mndeme.[/caption] [caption id="attachment_39431" align="aligncenter" width="1000"] Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akimsaidia kubeba ndoo ya maji, Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Bunge, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu, Jenista Mhagama ambaye pia ni Mbunge wa Peramiho, ikiwa ni ishara ya kuzindua kituo cha kuchotea maji katika kijiji cha Lugagala wilayani Songea, Januari 3, 2019. Wapili kushoto ni Waziri wa Maji, Juma Aweso na kulia ni Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma, Christina Mndeme.[/caption]    

Mipangilio
Marekebisho ya Mandhari
Marekebisho ya Maandishi