[caption id="attachment_40634" align="aligncenter" width="1000"] Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akifurahia baada ya kuweka jiwe la msingi la Ujenzi wa Ofisi ya Halmashauri ya Wilaya ya Kakonko mkoani Kigoma, Februari 19, 2019. Kushoto ni Waziri wa Elimu, Sayansi na Tekinolojia, Profesa Joyce Ndalichako na wapili kushoto ni Mbunge wa Buyungu, Christopher Chiza.[/caption] [caption id="attachment_40635" align="aligncenter" width="1000"] Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akikagua ujenzi wa Ofisi ya Halmashauri ya Wilaya ya Kakonko mkoani Kigoma baada ya kuweka jiwe la msingi la ujenzi huo, Februari 19, 2019. Wapili kulia ni mkewe Mary.[/caption]