Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Blogu ya Idara ya Habari - MAELEZO

Majaliwa Afungua Mkutano wa Wadau wa Zao la Korosho Jijini Tanga
Sep 17, 2017
Na Msemaji Mkuu

[caption id="attachment_14086" align="aligncenter" width="750"] Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na wabunge wa mkoa wa Tanga baada ya kuwasili kwenye uwanja wa ndege wa Tanga ambako alifungua Mkutano wa Wadau wa Zao la Korosho kwenye Ukumbi wa Hoteli ya Tanga Beach Resort leo.[/caption] [caption id="attachment_14090" align="aligncenter" width="750"] Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akifungua mkutano wa Wadau wa Zao la Korosho kwenye ukumbi wa hoteli ya Tanga Beach Reasort jijini Tanga Septemba 17, 2017.[/caption] [caption id="attachment_14091" align="aligncenter" width="750"] Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiwa katika picha ya pamoja na Mawaziri , Wabunge, Wakuu wa Mikoa na Viongozi wa Bodi ya Korosho Tanzania baada ya kufungua mkutano wa Wadau wa Zao la Korosho kwenye Hoteli ya Tanga Beach Resort jijini Tanga September 17, 2017.[/caption] [caption id="attachment_14092" align="aligncenter" width="750"] Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiagana na Mkuu wa Mkoa wa Njombe, Christopher Ole Sendeka baada ya kufungua Mkutano wa Wadau wa Zao la Korosho kwenye ukumbi wa Hoteli ya Tanga Beach Resort jijini TangaSeptemba 17, 2017. Kulia ni Mkuu wa Mkoa wa Tanga, Martin Shigella, wapili kulia ni Waziri wa Kilimo , Mifugo na Uvuvi, Dkt. Charles Tizeba na watatu kulia ni Mwenyekiti wa Bodi ya Korosho Tanzania , Anna Abdallah. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)[/caption]

Mipangilio
Marekebisho ya Mandhari
Marekebisho ya Maandishi