Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Blogu ya Idara ya Habari - MAELEZO

Majaliwa Afungua Kongamano la Biashara na Wakandarasi Kanda ya Kusini.
Nov 18, 2019
Na Msemaji Mkuu

[caption id="attachment_49042" align="aligncenter" width="750"] Baadhi ya washiriki wa Kongamano la Biashara na Wakandarasi kwa Kanda ya Kusini wakimsikiliza Waziri Mkuu Kassim Majaliwa wakati alipofungua Kongamano hilo kwenye ukumbi wa Tawi la Benki Kuu- Mtwara, Novemba 18, 2019. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)[/caption] [caption id="attachment_49043" align="aligncenter" width="750"] Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza wakati alipofungua Kongamano la Biashara na Wakandarasi kwa Kanda ya Kusini lililofanyika kwenye ukumbi wa Tawi la Benki Kuu- Mtwara, Novemba 18, 2019.[/caption] [caption id="attachment_49044" align="aligncenter" width="750"] Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB, Abdulmajid Nsekela wakati alipowasili kwenye Uwanja wa Ndege wa Mtwara ambako alifungua Kongamano la Biashara na Wakandarasi kwa Kanda ya Kusini lililofanyika kwenye ukmbi wa Tawi la Benk Kuu - Mtwara, Novemba 18, 2019. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)[/caption]

Mipangilio
Marekebisho ya Mandhari
Marekebisho ya Maandishi