Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Blogu ya Idara ya Habari - MAELEZO

Mafunzo ya PlanRep Yaendelea Mjini Dodoma
Sep 02, 2017
Na Msemaji Mkuu

[caption id="attachment_11480" align="aligncenter" width="750"] Baadhi ya Watumishi mbalimbali wakiwemo Maafisa Uchumi, Mipango na Makatibu Afya kutoka Halmashauri za Mkoa wa Manyara wakifuatilia mafunzo ya Mfumo wa kielektroniki (PlanRep) iliyoboreshwa wa kuandaa Mipango, Bajeti na Ripoti za Mamlaka ya Serikali za Mitaa yanayoratibiwa na Mradi wa Uimarishaji Sekta za Umma (PS3) kwa kushirikiana na Shirika la Maendeleo ya Kimataifa la Marekani (USAID) leo Mjini Dodoma.[/caption] [caption id="attachment_11482" align="aligncenter" width="750"] Mwezeshaji kutoka Mradi wa Uimarishaji Sekta za Umma (PS3) Christopher Masaaka ambaye pia ni Afisa Uchumi kutoka Halmashauri ya Wangingómbe Mkoa wa Njombe akitoa mafunzo kwa moja ya kundi la washiriki wa mafunzo ya Mfumo wa Kielektroniki (PlanRep) iliyoboreshwa wa kuandaa Mipango, Bajeti na Ripoti za Mamlaka ya Serikali za Mitaa leo Mjini Dodoma. Kushoto ni Wagisha Ronald na Hussein Kiranga (Katikati) kutoka Taasisi ya GIZ-TGPSH.[/caption] [caption id="attachment_11483" align="aligncenter" width="750"] Baadhi ya Maafisa Uchumi, Mipango na Makatibu Afya kutoka Manispaa ya Singida wakijadili jambo wakati wa mafunzo ya Mfumo wa kielektroniki (PlanRep) iliyoboreshwa wa kuandaa Mipango, Bajeti na Ripoti za Mamlaka ya Serikali za Mitaa leo Mjini Dodoma.(Picha na Beatrice Lyimo-MAELEZO)[/caption]

Mipangilio
Marekebisho ya Mandhari
Marekebisho ya Maandishi