Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Blogu ya Idara ya Habari - MAELEZO

Dkt. Shein na Ujumbe Wake Watembelea Kiwanda Cha Uchimbaji Wa Mafuta na Gesi (Rak Ges)
Sep 25, 2019
Na Msemaji Mkuu

[caption id="attachment_47297" align="aligncenter" width="750"] Mwangalizi Mkuu wa Uzalishaji wa kiwanda cha Kampuni ya Kimataifa ya Uchimbaji wa Mafuta na Gesi Asilia cha Ras Al Khaimah (RAK GAS) Deepu Thomas (kulia)akimueleza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein jinsi ya kiwanda hicho kinavyoendesha shughuli zake za uzalishaji wa Gesi wakati Mh.Rais alipofanya ziara katika kiwanda katika ziara Nchi za Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE).[/caption] [caption id="attachment_47295" align="aligncenter" width="750"] Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mh.Dk Ali Mohamed Shein (katikati) akipata maelezo kutoka kwa Meneja Mkuu wa Kiwanda cha Kampuni ya Kimataifa ya Uchimbaji wa Mafuta na Gesi Asilia cha Ras Al Khaimah (RAK GAS) Peter Deibel (kushoto) wakati alipotembelea kiwanda hicho katika ziara Nchi za Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE).[/caption] [caption id="attachment_47294" align="aligncenter" width="750"] Baadhi ya viongozi wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibra walioambatana na  Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein wakisikiliza kwa makini maelezo kutoka kwa mèneja uzalishaji wa kampuni ya Rak Gas (hayupo pichani) wakati ujumbe huo ulipofanya ziara katika kiwanda hicho wakiwa katika ziara ya Nchi za Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE).[/caption]

Mipangilio
Marekebisho ya Mandhari
Marekebisho ya Maandishi