Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Blogu ya Idara ya Habari - MAELEZO

Dkt. Shein Azuru Pemba
Aug 24, 2017
Na Msemaji Mkuu

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la MapinduziDkt. Ali Mohamed Shein akifungua pazia kuliweka jiwe la msingi Tawi la CCM Milimuni Kijiji cha Chokocho Wilaya ya Mkoani Mkoa wa Kusini Pemba leo 24 Agosti, 2017 akiwa katika ziara ya kutembelea na kukagua Miradi mbali mbali ya Maendeleo. (Picha na Ikulu).

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein alipokuwa akizungumza na Wananchi na wanachama wa Chama cha Mapinduzi CCM baada ya kuweka jiwe la msingi Tawi la CCM Milimuni Kijiji cha Chokocho Wilaya ya Mkoani Mkoa wa Kusini Pemba leo 24 Agosti, 2017 akiwa katika ziara ya kutembelea na kukagua Miradi mbali mbali ya Maendeleo. (Picha na Ikulu).

Mipangilio
Marekebisho ya Mandhari
Marekebisho ya Maandishi