[caption id="attachment_47092" align="aligncenter" width="750"] Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dkt.Ali Mohamed Shein akimuapisha Mhe. Ayoub Mohamed Mahmoud kuwa Mkuu wa Mkoa wa Kusini Unguja leo katika ukumbi wa Ikulu Mjini Zanzibar kabla ya uteuzi wa leo Ayoub alikuwa Mkuu wa Mkoa wa mjini Magharibi[/caption] [caption id="attachment_47093" align="aligncenter" width="750"] Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, DktA li Mohamed Shein akimuapisha Mhe. Hassan Khatib Hassan kuwa Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharibi kwenye hafla iliyofanyika leo katika ukumbi wa Ikulu Mjini Zanzibar. Mhe. Hassn Khatib alikuwa Mkuu wa mkoa wa Kusini Unguja[/caption]