[caption id="attachment_47267" align="aligncenter" width="750"] Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Dkt. Damas Ndumbaro, amekutana na kufanya mazungumzo na Mwakilishi wa Shirika la Afya Duniani (WHO) Dkt. Tigest Ketsela Mengestu. Mazungumzo hayo yamefanyika katika Ofisi ndogo ya Wizara jijini Dar es Salaam leo[/caption]