Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Blogu ya Idara ya Habari - MAELEZO

Bungeni Leo
Sep 06, 2017
Na Msemaji Mkuu

[caption id="attachment_12253" align="aligncenter" width="750"] . Naibu Spika wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Tulia Ackson akiongoza kikao cha pili cha Bunge la nane leo Mjini Dodoma.[/caption] [caption id="attachment_12256" align="aligncenter" width="750"] Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Dkt. Hamis Kigwangala akijibu swali wakati wa kikao cha pili cha Bunge la nane leo Mjini Dodoma.[/caption] [caption id="attachment_12259" align="aligncenter" width="750"] Naibu Waziri Wizara ya Nishati na Madini Mhe. Medard Kalemani akimsikiliza Mbunge wa Tarime Mjini (CHADEMA) Mhe. Ester Matiko wakati wa kikao cha pili cha Bunge la nane leo Mjini Dodoma.[/caption] [caption id="attachment_12262" align="aligncenter" width="750"] Baadhi ya Wabunge wakifuatilia kipindi cha Maswali na Majibu wakati wa kikao cha pili cha Bunge la nane leo Mjini Dodoma. (Picha na: Daudi Manongi -Maelezo, Dodoma)[/caption]

Mipangilio
Marekebisho ya Mandhari
Marekebisho ya Maandishi