Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Blogu ya Idara ya Habari - MAELEZO

Benki ya Biashara na Maendeleo Mashariki na Kusini Mwa Afrika Kusaidia Utekelezaji Miradi ya Kimkakati ya Tanzania
Nov 13, 2019
Na Msemaji Mkuu

[caption id="attachment_48802" align="aligncenter" width="750"] Waziri wa Fedha na Mipango Mhe. Dkt. Philip Isdor Mpango (Mb) (kushoto), akijadiliana mambo mbalimbali na Rais wa Benki ya Biashara na Maendeleo Mashariki na Kusini mwa Afrika (TDB) walipokutana katika Mji wa Sandton, Johannersburg, Afrika Kusini, Kando ya Kongamano kubwa la Pili la Jukwaa la Uwekezaji lililoandaliwa na Benki ya Maendeleo ya Afrika-AfDB, ambapo Benki hiyo imeahidi kuipatia mikopo zaidi Tanzania.[/caption] [caption id="attachment_48803" align="aligncenter" width="750"] Waziri wa Fedha na Mipango Mhe. Dkt. Philip Isdor Mpango (Mb) (kushoto), akiagana na Rais wa Benki ya Biashara na Maendeleo Mashariki na Kusini mwa Afrika (TDB) baada ya kumaliza mazungumzo yao katika Mji wa Sandton, Johannesburg, Afrika Kusini, Kando ya Kongamano kubwa la Pili la Jukwaa la Uwekezaji lililoandaliwa na Benki ya Maendeleo ya Afrika-AfDB, ambapo Benki hiyo imeahidi kuipatia mikopo nafuu zaidi Tanzania kuanzia mwakani[/caption] [caption id="attachment_48804" align="aligncenter" width="750"] Waziri wa Fedha na Mipango Mhe. Dkt. Philip Isdor Mpango (Mb) (kulia), akisalimiana na Rais wa Benki ya Biashara na Maendeleo Mashariki na Kusini mwa Afrika (TDB) walipokutana na kufanya mazungumzo katika Mji wa Sandton, Johannesburg, Afrika Kusini, Kando ya Kongamano kubwa la Pili la Jukwaa la Uwekezaji lililoandaliwa na Benki ya Maendeleo ya Afrika-AfDB[/caption]

Mipangilio
Marekebisho ya Mandhari
Marekebisho ya Maandishi