Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Blogu ya Idara ya Habari - MAELEZO

Balozi wa Saudi Arabia Nchini Amekutana na Rais Dkt. Mwinyi
Dec 08, 2023
Balozi wa Saudi Arabia Nchini Amekutana na Rais Dkt. Mwinyi
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe. Dkt. Hussein Ali Mwinyi (kulia) alipokuwa akimsikiliza Balozi mpya wa Saudi Arabia nchini Tanzania, Mhe. Yahya Ahmed Okeish alipofika kujitambulisha leo Ikulu Jijini Zanzibar..
Na Ikulu - Zanzibar

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe. Dkt. Hussein Ali Mwinyi (kulia) alipokuwa akipokea zawadi kutoka kwa mgeni wake Balozi  wa Saudi Arabia Nchini Tanzania, Mhe. Yahya Ahmed Okeish alipofika kujitambulisha leo Ikulu Jijini Zanzibar 

 

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe. Dkt. Hussein Ali Mwinyi (kulia) akifuatana na  mgeni wake  Balozi  wa Saudi Arabia nchini Tanzania, Mhe. Yahya Ahmed Okeish alipofika kujitambulisha leo Ikulu jijini Zanzibar .

Mipangilio
Marekebisho ya Mandhari
Marekebisho ya Maandishi