Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Blogu ya Idara ya Habari - MAELEZO

AfDB Yatoa Mkopo wa Shilingi Bilioni 414 Kujenga Barabara za Mzunguko Dodoma
Aug 19, 2019
Na Msemaji Mkuu

[caption id="attachment_46180" align="aligncenter" width="750"] Katibu Mkuu wa Wizara ya Fedha na Mipango, Bw. Doto James (kulia) na Meneja Mkazi wa Benki ya Maendeleo ya Afrika (AfDB), Bw. Alex Mubiru wakibadilishana hati za mikataba ya mkopo wenye masharti nafuu wa Dola za Kimarekani milioni 180, sawa na Shilingi bilioni 414 kutoka benki hiyo kwa ajili ya ujenzi wa barabara za pete (ring road) ama mzunguko kwa kiwango cha lami umbali wa kilometa 110.2 na uboreshati wa miundombinu katika Jiji la Dodoma.[/caption] [caption id="attachment_46183" align="aligncenter" width="750"] Katibu Mkuu wa Wizara ya Fedha na Mipango, Bw. Doto James (wa pili kulia) na Meneja Mkazi wa Benki ya Maendeleo ya Afrika AfDB, Bw. Alex Mubiru wakitia saini makubaliano ya mkataba wa mkopo wenye masharti nafuu wa USD milioni 180 ambazo ni sawa na Shilingi bilioni 414 kutoka Benki ya Maendeleo ya Afrika (AfDB), kwa ajili ya ujenzi wa barabara za pete (ring road) kwa kiwango cha lami umbali wa kilometa 110.2 na uboreshaji wa miundombinu katika Jiji la Dodoma.[/caption]

Mipangilio
Marekebisho ya Mandhari
Marekebisho ya Maandishi