Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Blogu ya Idara ya Habari - MAELEZO

Kamishna wa Utawala na Fedha wa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji Aapishwa
Dec 11, 2018
Na Msemaji Mkuu

[caption id="attachment_38791" align="aligncenter" width="750"] Makamishna, Wakuu wa Vitengo, Maafisa na Askari wa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji wakishuhudia kuapishwa kwa Kamishna wa Utawala na Fedha wa Jeshi hilo, katika ukumbi wa mikutano Makao Makuu ya Jeshi hilo mapema leo asubuhi tarehe 11/12/2018[/caption] [caption id="attachment_38792" align="aligncenter" width="750"] Kamishna wa Utawala na Fedha (CF) Mbaraka Semwanza (kushoto) akipokea nyaraka mbalimbali za ofisi ya Utawala na Fedha kutoka kwa Kamishna Jenerali wa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji (CGF) Thobias Andengenye (kulia), baada ya kuapishwa katika ukumbi wa mikutano Makao Makuu ya Jeshi hilo mapema leo asubuhi tarehe 11/12/2018[/caption] [caption id="attachment_38793" align="aligncenter" width="750"] Kamishna (CF) Mbaraka Semwanza akiapa baada ya kuvishwa cheo kipya cha Kamishna wa Utawala na Fedha wa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji katika ukumbi wa mikutano Makao Makuu ya Jeshi hilo mapema leo asubuhi tarehe 11/12/2018[/caption] [caption id="attachment_38794" align="aligncenter" width="750"] Kamishna Jenerali wa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji (CGF) Thobias Andengenye (kushoto) akimvua cheo cha zamani na kumvisha cheo kipya cha Kamishna wa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji (CF) Mbaraka Semwanza katika ukumbi wa mikutano Ofisi za Makao Makuu ya Jeshi Dar es salaam mapema leo asubuhi tarehe 11/12/2018.[/caption]

Mipangilio
Marekebisho ya Mandhari
Marekebisho ya Maandishi