[caption id="attachment_37675" align="aligncenter" width="750"] Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akihutubia mkutano wa hadhara kwenye uwanja wa CCM Sabasaba uliopo Lushoto, Oktoba 31, 2018.[/caption] [caption id="attachment_37676" align="aligncenter" width="750"] Wananchi wa Lushoto wakimsikiliza Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa wakati alipohutubia mkutano wa hadhara kwenye uwanja wa CCM Sabasaba akiwa katika ziara ya mkoa wa Tanga Oktoba 31, 2018. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)[/caption]