Waziri wa Fedha na Mipango, Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba (Mb) (katikati), akiongoza ujumbe wa Tanzania kwenye mkutano wa 6 wa Kamati ya Pamoja ya Uchumi, Ufundi na Biashara kati ya Tanzania na Jamhuri ya Watu wa China, uliofanyika kwa njia ya mtandao Jijini Dar es Salaam, wakimsikiliza Naibu Waziri wa Biashara wa Jamhuri ya Watu wa China, Mhe. Qian Keming. Kulia ni Kamishna Msaidizi wa Idara ya Fedha za Nje, Bw. Robert Mtengule na kushoto ni Kamishna Msaidizi pia wa Idara ya Fedha za Nje, Bw. Melkizedeck Mbise, wote kutoka Wizara ya Fedha...
Read More