Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na watumishi wa Halmashauri ya wilaya ya Mlele akiwa kwenye ziara ya Mkoa wa Katavi, Disemba 13, 2022. Kushoto ni Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais TAMISEMI, Dkt. Festo Dugange, katikati ni Kaimu Mkuu wa Mkoa wa Rukwa na Mkuu wa wilaya ya Tanganyika, Onesmo Buswelu na wa pili kulia ni Katibu Tawala wa mkoa wa Katavi, Hassan Rugwa
Read More