Balozi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania katika Falme ya Uholanzi, Mhe. Caroline Kitana Chipeta akiwasilisha Hati za Utambulisho kwa Mtukufu Mfalme Willem-Alexander wa Uholanzi
Balozi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania katika Falme ya Uholanzi, Mhe. Caroline Kitana Chipeta, amewasilisha Hati za Utambulisho kwa Mtukufu Mfalme Willem-Alexander wa Uholanzi.
Hafla hiyo imefanyika katika moja ya Kasri za Kifalme iliyoko Noordeinde, The Hague, Uholanzi tarehe 19 Oktoba, 2022.
Balozi wa Tanzania katika Falme ya Uholanzi, Mhe. Caro...