Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiongoza kikao cha viongozi wa Mkoa wa Mwanza na Wilaya ya Ukerewe kuhusu ujenzi wa barabara katika wilaya hiyo. Kulia kwake ni Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais TAMISEMI, Angela Kairuki na kushoto kwake ni Naibu Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu, Kasper Mmuya, ofisini kwake Mlimwa jijini Dodoma Oktoba 20, 2022.
Giza
Mwanga
Chaguo Msingi
Ndogo
Kawaida
Kubwa