Na WMJJWM, Tokyo Japan
Viongozi waandamizi kutoka nchini Tanzania wapo nchini Japan kwa lengo la kujengewa uwezo kuhusiana na masuala ya ugatuaji wa Madaraka na namna nchi hiyo ilivyoweza kufanikiwa kwenye dhana hiyo kwa vitendo, hali itakayoziwezesha Mamlaka za Serikali za Mitaa hapa nchini kujitegemea kimapato sambamba na kutoa huduma bora kwa wananchi.
Akizungumza katika ziara hiyo, Katibu Mkuu Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum, Dkt. Zainab Chaula, amesema wakiwa katika nchi hiyo ambayo imeonesha kuwa na...
Read More