Matukio katika Picha: Ziara ya Waziri Mkuu Nchini Korea
Oct 25, 2022
Na
Jacquiline Mrisho
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na viongozi wa Taasisi ya Global Cooperation Committee ya Korea kwenye Hoteli ya Lotte iliyopo Seoul Oktoba 25, 2022. Yuko katika ziara ya kikazi nichini humo
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akitazama mashine mbalimbali wakati alipotembelea Kituo cha Ubunifu cha CEIC kilichopo katika miji wa Pangyo Korea, Oktoba 25, 2022.