Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa leo Oktoba 26, 2022 ameshuhudia utiaji saini wa makubaliano ya Ushirikiano baina ya Bohari ya Dawa Tanzania (MSD) na Serikali ya Jimbo la Chungcheongbuck nchini Korea . Pichani, Mheshimiwa Majaliwa akiwa na Mtendaji Mkuu wa MSD, Tukai Lavere (wa pili kushoto) na Gavana wa Jimbo hilo, Kim Young Hwan ambao walitia saini makubaliano hayo. Kulia ni Balozi wa Tanzania nchini Korea, Togolani Mavura.
Giza
Mwanga
Chaguo Msingi
Ndogo
Kawaida
Kubwa