Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akikagua bwalo la chakula, wakati alipotembelea shule ya sekondari ya wasichana ya Lucas Malia, iliyopo Ruangwa, mkoani Lindi, Agosti 20, 2021.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akikagua bweni, wakati alipotembelea shule ya sekondari ya wasichana ya Lucas Malia, iliyopo Ruangwa, mkoani Lindi, Agosti 20, 2021.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akikagua vifaa vya maabara alipotembelea shule ya sekondari ya wasichana ya Lucas Malia iliyopo Ruangwa, mkoani Lindi, Agosti 20, 2021.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akimkab...
Read More