Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akikagua bweni, wakati alipotembelea shule ya sekondari ya wasichana ya Lucas Malia, iliyopo Ruangwa, mkoani Lindi, Agosti 20, 2021.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akikagua vifaa vya maabara alipotembelea shule ya sekondari ya wasichana ya Lucas Malia iliyopo Ruangwa, mkoani Lindi, Agosti 20, 2021.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akimkabidhi Dada Mkuu wa sekondari ya wasichana ya Lucas Malia, Grace Joachim, vifaa vya michezo, wakati alipotembelea shule hiyo iliyopo Ruangwa, mkoani Lindi, Agosti 20, 2021. Kulia ni Mwalimu Mkuu Gladnes Makongwa.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akimkabidhi kapteni wa sekondari ya wasichana ya Lucas Malia, Mary Moses vifaa vya michezo wakati alipotembelea shule hiyo iliyopo Ruangwa, mkoani Lindi, Agosti 20, 2021. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)