Waziri wa Nishati, Dkt. Medard Kalemani akikata utepe kuashiria uzinduzi rasmi wa Mradi Kabambe wa Kusambaza Umeme Vijijini, Awamu ya Tatu, Mzunguko wa Pili,Mkoa wa Mara, uliofanyika katika kijiji cha Kitunguruma, Kata ya Mbaribari, wilayani Serengeti, Julai 8 mwaka huu.
Veronica Simba na Hafsa Omar - Mara
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan anatarajiwa kuvunja rekodi kwa Marais wote wa Afrika katika uunganishaji umeme vijijini.
Waziri wa Nishati, Dkt. Medard Kalemani amebainisha hayo wakati akizungumza na wan...
Read More