RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akisalimiana na Mwakilishi wa Mtawala wa Ras Al-Khaimah, Bw.Mohamed Ali Musabeh Al Nuaimi, alipofika Ikulu ndogo Migombani Jijini Zanzibar kwa mazungumzo, (kulia) Balozi wa Umoja wa Nchi za Falme za Kiarabu (UAE) Nchini Tanzania.Mhe.Khalifa Abdulrahman Almarzooqi na Mkurugenzi Mtendaji wa RAK Gas Nishant Dighe..(Picha na Ikulu)
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akisalimiana na Balozi wa Umoja wa Nchi za Falme za...
Read More