Na: Mwandishi Wetu
Programu maalum ya HAPA NA PALE Operesheni Korosho katika Mkoa wa Mtwara imebainisha maghala yote ya Vyama vya Vikuu vya Ushirika yamesheheni korosho na sasa yanasubiri usombaji wa zao hilo kupelekwa katika maghala makuu ya bandari .
Tani zilizopo kwenye maghala mpaka sasa ni 118,193,,490 na tani zilizobaki ni 101, 807 ili kufikia tani elfu 220,000 zinazokadiriwa kupatikana kwa mwaka 2018.
Hapa na Pale imepiga hodi katika Wilaya ya Tandahimba yenye jumla ya wakulima wa korosho 65,004 ambapo wamezalisha tani 80,000 kat...
Read More