MAANDALIZI YA MICHEZO YA SHIMIWI 2018
Shirikisho la Michezo ya Wizara na Idara za Serikali (SHIMIWI) limeandaa Michezo kwa Watumishi wa Seriali kutoka katika Wizara, Idara Zinazjitegemea, Wakala wa Serikali na Ofisi za Wakuu wa Mikoa itakayofanyika Jijini Dodoma kuanzia tarehe 25 Septemba hadi 06 Oktoba, 2018 katika Viwanja vya Jamhuri na Chuo Kikuu Cha Dodoma (UDOM).
Michezo hiyo itakayoshindaniwa ni Mpira wa Miguu (Wanaume), Netiboli (Wanawake), Kuvuta Kamba (Wanaume na Wanawake), Riadha (Wanaume na Wanawake), Baiskeli (Wanaume...
Read More