[caption id="attachment_35466" align="aligncenter" width="1000"] Naibu Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Mhe. Angelina Mabula (katikati) akiteta jambo Mkuu wa Huduma za Kibenki na Mauzo wa Benki ya NMB Makao Makuu, Omari Mtiga alipowasili katika hafla ya ufunguzi wa maonyesho ya NMB Nyumba Day yaliyofunguliwa rasmi leo katika viwanja vya NMB Tawi la Kambarage jijini Dodoma. Maonyesho hayo yamelenga kuwakutanisha wateja na watoa huduma za ujenzi na uuzaji wa nyumba ambapo benki ya NMB inatoa huduma ya mikopo kwa ajili ya kuwa...
Read More