[caption id="attachment_2479" align="aligncenter" width="750"] Waziri wa Kilimo, Mifugo na Uvuvi, Dkt. Charles Tizeba (kushoto) akizungumza na maafisa wa Benki ya Kilimo juu ya umuhimu wa kuharakisha utoaji wa mikopo kwa wasindikaji wa maziwa nchini.[/caption]
Na Mwandishi wetu, Bukoba
Waziri mwenye dhamana ya Kilimo, Mifugo na Uvuvi Mhe. Dkt. Charles Tizeba ameiagiza Benki ya Maendeleo ya Kilimo ya Tanzania (TADB) kuharakisha kutoa mikopo kwa wasindikaji wa maziwa nchi ili kuongeza tija kwa wafugaji wa ng’ombe wa maziwa nchini.
Waziri Dkt....
Read More