Mwenyekiti wa eneo la nyumba za makazi za NSSF Toangoma, Bw. Emmanuel Keffa akieleza changamoto za miundombinu ya barabara wakati wa ziara ya Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Uratibu, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu), Mhe. Jenista Mhagama katika mradi huo.
Mmoja wa wapangaji wa nyumba za NSSF eneo la Dungu Wilaya ya Kigamboni Dar es Salaam, Bi. Flora Mwakipesile akieleza uzuri wa nyumba hizo kwa Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Uratibu, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu) Mhe. Jenista Mhagama alipof...
Read More