Rais Samia Akutana na Kuzungumza na Rais wa Baraza la Ulaya Jijini New York
Sep 23, 2021
Na
Jacquiline Mrisho
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan, akizungumza na Rais wa Baraza la Ulaya, Mhe. Charles Michael, walipokutana Jijini New York Nchini Marekani leo Sept 22, 2021.