Rais Samia Azungumza na Jukwaa la Wafanya Biashara Kati ya Tanzania na Marekani
Sep 23, 2021
Na
Jacquiline Mrisho
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan, akizungumza kwenye mkutano wa pamoja kati ya Wafanya Biashara wa Tanzania na Marekani ambapo amesisitiza kuimarishwa kwa Biashara kati ya Mataifa hayo mawili ili kuwa na faida kwa pande zote mbili. Mkutano huo umefanyika leo Sept 22,2021 Jijini New York Nchini Marekani.