Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Bi. Suzan Mlawi akila kiapo cha kushika wadhifa huo mbele ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli leo Ikulu Jijini Dar es Salaam.
Jonas Kamaleki - MAELEZO
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli amewataka viongozi walioapishwa kutekeleza majukumu yao kwa kufuata sheria katika kuwatumikia wananchi.
Rais Magufuli amayasema hayo leo Ikulu jijini Dar es Salaam wakati akiwaapisha, Makatibu Wakuu, Manaibu Katibu Wakuu na...
Read More