[caption id="attachment_21082" align="aligncenter" width="1000"] Kamishna Jenerali wa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji, Thobias Andengenye, akizungumza na Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda wakati alipomtembelea Ofisini kwake leo jijini Dar es Salaam. Katika Kikao hicho, Mkuu wa Mkoa aliahidi kushirikiana na Jeshi hilo kwa kuliongezea vitendea kazi ili liweze kujidhatiti katika kukabiliana na majanga mbalimbali.[/caption] [caption id="attachment_21083" align="aligncenter" width="1000"] Kamishna Jenerali wa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji Thobias Andengenye akimkabidhi zawadi ya Kalamu yenye ujumbe wa namba ya dharura 114 Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Paul Makonda mara baada ya kumaliza mazungumzo yao wakati alipomtembelea Ofisini kwake leo jijini Dar es Salaam.. Katika Kikao hicho,[/caption] [caption id="attachment_21084" align="aligncenter" width="1000"] Kamishna Jenerali wa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji, Thobias Andengenye, akiagana na Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda, mara baada ya kumaliza mazungumzo yao wakati alipomtembelea Ofisini kwake leo jijini Dar es Salaam..[/caption] [caption id="attachment_21085" align="aligncenter" width="1000"] Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda akiwa katika picha ya pamoja na Kamishna Jenerali wa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji, Thobias Andengenye, mara baada ya kumaliza mazungumzo yao wakati alipomtembelea Ofisini kwake leo jijini Dar es Salaam.Picha na Jeshi la Zimamoto na Uokoaji[/caption]