Bw. Nairoti Kenanda kutoka kijiji cha Njoroi katika tarafa ya Loliondo wilayani Ngorongoro mkoani Arusha, akishiriki kuchimba shimo lenye urefu wa mita moja kwa ajili ya kuwekwa alama ndogo ya mpaka wa kimataifa kati ya Tanzania na Kenya unaopita katika kijiji hiko.
Na Rehema Isango, Arusha
Jumla ya kilomita 91 za mpaka wa kimataifa kati ya Tanzania na Kenya mkoani Mara zenye alama kuu zimeimarishwa na zingine kuwekwa upya baada ya zile za awali kung’olewa na sasa timu za wataalam wa upimaji ardhi na ramani zimeanza kazi hiyo wilayani Ngor...
Read More