Gavana wa Benki Kuu ya Tanzania Prof. Florens Luoga akitoa hotuba ya ufunguzi wa warsha ya siku moja ya wadau wa sekta ya fedha nchini kujadili mchango wa sekta hiyo kwenye maendeleo ya uchumi wa Viwanda kwa niaba ya Waziri wa Fedha na Mipango Dkt. Philip Mpango (Mb) leo Jijini Dodoma.
Naibu Katibu Wizara ya Fedha na Mipango Dkt. Khatib Kazungu akizungumza katika warsha ya siku moja ya wadau wa sekta ya fedha nchini kujadili mchango wa sekta ya fedha kwenye maendeleo ya uchumi wa Viwanda kwa niaba ya Katibu Mkuu wa Wizara ya Fedha na Mipango Bw. Dotto James leo Jijini Dodoma.
Gavana wa Benki Kuu ya Tanzania Prof. Florens Luoga akiteta jambo na Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Fedha na Mipango Dkt. Khatib Kazungu warsha ya siku moja ya wadau wa sekta ya fedha nchini kujadili mchango wa sekta ya fedha kwenye maendeleo ya uchumi wa Viwanda .
Mbunge wa Viti maalum Mhe. Maria Kangole akiteta jambo na Mbunge wa Muheza Balozi Adadi Rajabu wakati wa warsha ya siku moja ya wadau wa sekta ya fedha nchini kujadili mchango wa sekta ya fedha kwenye maendeleo ya uchumi wa Viwanda .
Katibu Mkuu Wizara ya Viwanda Biashara na Uwekezaji Prof. Elisante Ole Gabriel akiteta jambo na Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Fedha na Mipango Dkt. Khatib Kazungu wakati wa warsha ya siku moja ya wadau wa sekta ya fedha nchini kujadili mchango wa sekta hiyo kwenye maendeleo ya uchumi wa Viwanda.
Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu Sera na Uratibu Prof. Faustine Kamuzora akizungumza wakati wa warsha ya siku moja ya wadau wa sekta ya fedha nchini kujadili mchango wa sekta ya fedha kwenye maendeleo ya uchumi wa Viwanda
Sehemu ya washiriki wa warsha ya siku moja ya wadau wa sekta ya fedha nchini iliyolenga kujadili mchango wa sekta ya fedha kwenye maendeleo ya uchumi wa Viwanda wakifiatilia hotuba ya mgeni rasmi leo Jijini Dodoma .
Katibu Mkuu Wizara ya Viwanda Biashara na Uwekezaji Prof. Elisante Ole Gabriel akitaeta jambo na mbunge wa viti maalum Mhe. Maria Kangole wakati wa warsha ya siku moja ya wadau wa sekta ya fedha nchini iliyolenga kujadili mchango wa sekta ya fedha kwenye maendeleo ya uchumi wa Viwanda.