*Ni kuhusu kuchukizwa kwake na kauli ya Jaguar
[caption id="attachment_44839" align="aligncenter" width="750"] Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Balozi wa Kenya nchini, Mhe. Dany Kazungu, ofisini kwa Waziri Mkuu, Magogoni jijini Dar es salaam, Julai 2, 2019[/caption]
Rais wa Kenya, Uhuru Kenyatta amemtumia ujumbe maalumu Rais wa Tanzania, Dkt. John Magufuli unaoelezea msimamo wa Serikali yake kuhusu kukerwa na matamshi yaliyotolewa hivi karibuni na Mbunge wa jimbo la Starehe, Charles Njagua Kanyi maarufu kwa jina la Jaguar.
Uj...
Read More