[caption id="attachment_48100" align="aligncenter" width="683"] Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akipokea Mwenge wa Uhuru kutoka kwa kiongozi wa mbio za Mwenge mwaka huu Ndugu Mzee Mkongea Ally kwenye sherehe za Kilele za Mbio zaMwenge, Wiki ya Vijana na Kumbukizi ya Miaka 20 ya Kifo cha Baba wa Taifa Mwalimu Nyerere katika Uwanja wa Michezo wa Ilulu Mjini Lindi leo Jumatatu Oktoba 14, 2019[/caption]
Vijana wa Halaiki wakijenga maumbo mbalimbali wakati wa sherehe za Kilele za Mbio za Mwenge, Wiki ya Vij...
Read More