Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Blogu ya Idara ya Habari - MAELEZO

Wabunge Wapitisha Azimio la Kumpongeza Rais Magufuli
Nov 15, 2019
Na Msemaji Mkuu

[caption id="attachment_48972" align="aligncenter" width="750"] Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akisoma hotuba ya kuhairisha Mkutano wa 17 wa Bunge la 11 leo tarehe 15/11/2019 jijini Dodoma.[/caption] [caption id="attachment_48973" align="aligncenter" width="750"] Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akisoma hotuba ya kuhairisha Mkutano wa 17 wa Bunge la 11 leo tarehe 15/11/2019 jijini Dodoma.[/caption] [caption id="attachment_48974" align="aligncenter" width="750"] Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe Job Ndugai akizungumza wakati wa kuhitimisha kikao cha 17 cha Mkutano wa 11 wa Bunge leo tarehe 15/11/2019 jijini Dodoma.[/caption] [caption id="attachment_48975" align="aligncenter" width="750"] Mbunge wa Jimbo la Bukoba Vijijini Mhe. Jason Rwekiza akiwasilisha hoja binafsi ya kuazimia Bunge kumpongeza Rais Dkt. John Pombe Magufuli kutokana na kazi nzuri anayoifanya wakati wa kuhitimisha kikao cha 17 cha Mkutano wa 11 wa Bunge leo tarehe 15/11/2019 jijini Dodoma.[/caption] [caption id="attachment_48976" align="aligncenter" width="750"] Mbunge wa Jimbo la Ulanga Mhe. Goodlucky Mlinga akichangia hoja kuhusu azimio la Bunge kumpongeza Rais Dkt. John Pombe Magufuli kutokana na kazi nzuri anayoifanya wakati wa kuhitimisha kikao cha 17 cha Mkutano wa 11 wa Bunge leo tarehe 15/11/2019 jijini Dodoma.[/caption] [caption id="attachment_48977" align="aligncenter" width="750"] Mbunge wa Jimbo la Muleba Kaskazini, Mhe Charles Mwijage akichangia hoja kuhusu azimio la Bunge kumpongeza Rais Dkt. John Pombe Magufuli kutokana na kazi nzuri anayoifanya wakati wa kuhitimisha kikao cha 17 cha Mkutano wa 11 wa Bunge leo tarehe 15/11/2019 jijini Dodoma.[/caption] [caption id="attachment_48978" align="aligncenter" width="750"] Mbunge wa Jimbo la Sumve, Mhe Richard Ndassa akichangia hoja kuhusu azimio la Bunge kumpongeza Rais Dkt. John Pombe Magufuli kutokana na kazi nzuri anayoifanya wakati wa kuhitimisha kikao cha 17 cha Mkutano wa 11 wa Bunge leo tarehe 15/11/2019 jijini Dodoma.[/caption] [caption id="attachment_48979" align="aligncenter" width="750"] Mbunge wa Mbunge wa Viti Maalum CCM, Mhe. Amina Mollel akichangia hoja kuhusu azimio la Bunge kumpongeza Rais Dkt. John Pombe Magufuli kutokana na kazi nzuri anayoifanya wakati wa kuhitimisha kikao cha 17 cha Mkutano wa 11 wa Bunge leo tarehe 15/11/2019 jijini Dodoma.[/caption] [caption id="attachment_48980" align="aligncenter" width="750"] Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akipongezwa na Baadhi ya Mawaziri na Manaibu Mawaziri mara baada ya kumaliza hotuba yake ya kuhairisha Mkutano wa 17 wa Bunge la 11 leo tarehe 15/11/2019 jijini Dodoma.Aliyeshikana naye mkono ni Naibu Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu anayeshughulikia Kazi, Vijana na Ajira, katikati ni Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Prof. Palamagamba Kabudi na Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Ajira, Vijana, Kazi, Ajira na Wenye ulemavu Jenista Mhagama.[/caption] [caption id="attachment_48981" align="aligncenter" width="750"] Kikundi cha Brass Band kikiongoza kuimba wimbo wa taifa wakati wa kuhairisha Mkutano wa 17 wa Bunge la 11 leo tarehe 15/11/2019 jijini Dodoma.(Picha na Idara ya Habari – MAELEZO)[/caption]

Mipangilio
Marekebisho ya Mandhari
Marekebisho ya Maandishi