[caption id="attachment_48912" align="aligncenter" width="750"] Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa, akisalimiana na Naibu Waziri Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Mhandisi Atashasta Nditiye (kushoto) na mbunge wa Viti Maalum, Oliver Semguruka Bungeni jijini Dodoma leo Novemba 14.2019[/caption]