[caption id="attachment_48953" align="aligncenter" width="750"] Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Kassim Majaliwa akiwahutubia washiriki wa Tamasha la Mwalimu Arts Festival 2019, lililofanyika katika Kituo cha Mikutano cha Kimataifa Juilius Nyerere Jijini Dar es Salaam leo Novemba 15, 2019.[/caption] [caption id="attachment_48954" align="aligncenter" width="750"] Rais wa Shirikisho la Muziki Nchini Ado Novemba akisikiliza akiongea kwa simu na Rais wa Jamhuri ya Muungano, Mhe. Dkt.John Pombe Magufuli alipopiga kuwapongeza wasanii kwa kuanzisha tamasha la Mwalimu Arts Festival 2019, kushoto ni Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Kassim Majaliwa[/caption] [caption id="attachment_48955" align="aligncenter" width="750"] Waziri wa Habari,Utamaduni, Sanaa na Michezo, Dkt.Harrison Mwakyembe akizungumza na kumkaribisha Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Kassim Majaliwa katika Tamasha la Mwalimu Arts Festival 2019 lililofanyika katika Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Juilius Nyerere Jijini Dar es Salaam leo Novemba 15, 2019.[/caption] [caption id="attachment_48956" align="aligncenter" width="750"] Rais wa Shirikisho la Muziki Tanzania, Ado Novemba akisoma Risala mbele ya Mgeni Rasmi ambaye ni Waziri Mkuu wa Tanzania, Mhe .Kassim Majaliwa( hayupo pichani), katika Tamasha la Mwalimu Arts Festival 2019, lililofanyika katika Kituo cha Mikutano cha Kimataifa Juilius Nyerere Jijini Dar es Salaam leo Novemba 15, 2019.[/caption] [caption id="attachment_48957" align="aligncenter" width="750"] Mkurugenzi wa Idara ya Habari-MAELEZO na Msemaji Mkuu wa Serikali, Dkt.Hassan Abbasi akichangia Mfuko wa Wasanii ulioundwa mara baada ya Wasanii kuiomba Serikali kuunda mfuko huo, na Mgeni Rasmi ambaye ni Waziri Mkuu wa Tanzania, Mhe .Kassim Majaliwa za akaagiza uundwe palepale katika Tamasha la Mwalimu Arts Festival 2019, lililofanyika katika Kituo cha Mikutano cha Kimataifa Juilius Nyerere Jijini Dar es Salaam leo Novemba 15, 2019.[/caption] [caption id="attachment_48958" align="aligncenter" width="750"] Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Kassim Majaliwa, akisalimiana na Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi(CCM), Dkt. Bashiru Ally, mara baada ya kuwahutubia washiriki wa Tamasha la Mwalimu Arts Festival 2019 lililofanyika katika Kituo cha Mikutano cha Kimataifa Juilius Nyerere Jijini Dar es Salaam leo Novemba 15, 2019, katikati ni Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Job Ndugai.[/caption] [caption id="attachment_48959" align="aligncenter" width="750"] Msanii wa Mashairi ya Kughani, Mrisho Mpoto akitoa burudani katika Tamasha la Mwalimu Arts Festival 2019 lililofanyika katika Kituo cha Mikutano cha Kimataifa Juilius Nyerere Jijini Dar es Salaam leo Novemba 15, 2019.[/caption] [caption id="attachment_48960" align="aligncenter" width="750"] Msanii wa Mashairi ya Kughani, Mrisho Mpoto akiingia kutoa burudani katika Tamasha la Mwalimu Arts Festival 2019 lililofanyika katika Kituo cha Mikutano cha Kimataifa Juilius Nyerere Jijini Dar es Salaam leo Novemba 15, 2019.[/caption] [caption id="attachment_48961" align="aligncenter" width="750"] Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Kassim Majaliwa, akipokea Risala kutoka kwa Wasani iliyosomwa na kuwasilishwa na Rais wa Shirikisho la Muziki Tanzania Ado Novemba na Msanii wa Filamu, Monalisa katika Tamasha la Mwalimu Arts Festival 2019 lililofanyika katika Kituo cha Mikutano cha Kimataifa Juilius Nyerere Jijini Dar es Salaam leo Novemba 15, 2019.[/caption] [caption id="attachment_48962" align="aligncenter" width="750"] Mwakilishi wa Wasanii, Yvonne Charrie, maarufu kama Monalisa akiwasilisha Risala kwa Mgeni Rasmi ambaye ni Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Kassim Majaliwa, katika Tamasha la Mwalimu Arts Festival 2019, lililofanyika katika Kituo cha Mikutano cha Kimataifa Juilius Nyerere Jijini Dar es Salaam leo Novemba 15, 2019.[/caption] [caption id="attachment_48963" align="aligncenter" width="750"] Washiriki wa Tamasha la Mwalimu Arts Festival 2019, wakifuatilia hotuba ya Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Kassim Majaliwa, katika Tamasha la Mwalimu Arts Festival 2019 lililofanyika katika Kituo cha Mikutano cha Kimataifa Juilius Nyerere Jijini Dar es Salaam leo Novemba 15, 2019.[/caption] [caption id="attachment_48964" align="aligncenter" width="750"] Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Kassim Majaliwa, akiwa katika picha ya pamoja na Wakuu wa Vyama mbalimbali vya sanaa nchini, katika Tamasha la Mwalimu Arts Festival 2019 lililofanyika katika Kituo cha Mikutano cha Kimataifa Juilius Nyerere Jijini Dar es Salaam leo Novemba 15, 2019.[/caption] [caption id="attachment_48965" align="aligncenter" width="750"] Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Kassim Majaliwa, akiwa katika picha ya pamoja na Wadhamini wa Tamasha la Mwalimu Arts Festival 2019 lililofanyika katika Kituo cha Mikutano cha Kimataifa Juilius Nyerere Jijini Dar es Salaam leo Novemba 15, 2019.[/caption] [caption id="attachment_48966" align="aligncenter" width="750"] Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Kassim Majaliwa, akiwa katika picha ya pamoja na na Wawakilishi wa Wasanii katika Tamasha la Mwalimu Arts Festival 2019 lililofanyika katika Kituo cha Mikutano cha Kimataifa Juilius Nyerere Jijini Dar es Salaam leo Novemba 15, 2019.[/caption]