Waziri wa Nishati Dkt Medard Kalemani, ameweka jiwe la msingi la kiwanda cha kwanza nchini kitakachojihusisha na utengenezaji wa vifaa vinavyotumika kuunganisha mifumo ya umeme, maarufu kwa jina la kigeni kama ‘insulators.’
Aliweka jiwe hilo, Agosti 10, 2020 katika eneo la kiwanda cha Inhemeter, Kinondoni jijini Dar es Salaam, katika hafla iliyowashirikisha viongozi mbalimbali wa Serikali, wafanyakazi wa kiwanda husika na baadhi ya wananchi.
Katika hotuba yake aliyoitoa muda mfupi kabla ya kuweka jiwe la msingi, Dkt Kalema...
Read More