Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Blogu ya Idara ya Habari - MAELEZO

Matukio ya Uzinduzi wa Kanisa Katika Picha
Aug 24, 2020
Na Msemaji Mkuu

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John
Pombe Magufuli akiombewa na Askofu Mkuu wa Jimbo Kuu la Dodoma
Mhashamu Beatus Kinyaiya aliposhiriki Misa Takatifu ya Dominika ya
21 ya Mwaka "A" na kuzindua  Kanisa, Nyumba ya Mapadres na Grotto ya
Parokia ya Bikira Maria Imakulata Ikulu Chamwino leo Jumapili Agosti
23,. 2020 
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli akiendesha harambee kuchangia ujenzi wa Msikiti wa Chamwino
wakati wa Misa Takatifu ya Dominika ya 21 ya Mwaka "A" ambapo pia
alizindua Kanisa, Nyumba ya Mapadres na Grotto ya Parokia ya Bikira
Maria Imakulata Ikulu Chamwino leo Jumapili Agosti 23,. 2020
 
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli
akikabidhi michango kwa Askofu Mkuu wa Jimbo Kuu la Dodoma Mhashamu
Beatus Kinyaiya aliposhiriki iliyotokana na harambee kuchangia
ujenzi wa Msikiti wa Chamwino wakati wa Misa Takatifu ya Dominika ya
21 ya Mwaka "A" ambapo pia alizindua Kanisa, Nyumba ya Mapadres na
Grotto ya Parokia ya Bikira Maria Imakulata Ikulu Chamwino leo
Jumapili Agosti 23,. 2020
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli
akishukuru baada ya kukabidhi michango kwa Askofu Mkuu wa Jimbo Kuu la
Dodoma Mhashamu Beatus Kinyaiya aliposhiririki iliyotokana na harambee
kuchangia ujenzi wa Msikiti wa Chamwino wakati wa Misa Takatifu ya
Dominika ya 21 ya Mwaka "A" ambapo pia alizindua Kanisa, Nyumba ya
Mapadres na Grotto ya Parokia ya Bikira Maria Imakulata Ikulu Chamwino
leo Jumapili Agosti 23,. 2020
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli
katika picha ya pamoja na Askofu Mkuu wa Jimbo Kuu la Dodoma Mhashamu
Beatus Kinyaiya, Katibu wa Baraza la Maaskofu Tanzania )TEC) Padri
Dkt. Charles Kitima na Paroko wa Kanisa hilo Paul Mapalala baada ya
kushiriki  Misa Takatifu ya Dominika ya 21 ya Mwaka "A" ambapo pia
alizindua Kanisa, Nyumba ya Mapadres na Grotto ya Parokia ya Bikira
Maria Imakulata Ikulu Chamwino leo Jumapili Agosti 23,. 2020
Kanisa la Parokia ya Bikira Maria Imakulata Ikulu Chamwino leo
Jumapili Agosti 23,. 2020
 

Mipangilio
Marekebisho ya Mandhari
Marekebisho ya Maandishi