Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akikata utepe wakati alipofungua Jengo la Intelijensia TAKUKURU Makao Makuu Dodoma, Augosti 12, 2020. Kushoto ni Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Kapteni Mstaafu, George Mkuchika, wa tatu kushoto ni Naibu Waziri, Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora Dkt. Mary Mwanjelwa na kushoto ni Mkurugenzi Mkuu wa TAKUKURU, Brigedia Jenerali John Mbugo na kulia ni Mkurugenzi wa Intelijensia TAKUKURU, Emmanuel Kiyabo
WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa ameiagi...
Read More